Wasapaisee!
au wewe Rasta mwenzetu ndio maana unatetea wazungu?! hehehe
aaah!? kama Beyonce sio?
Ahahahha unanikumbusha best wangu form 4 alikuwa anasemaga ivo ivomie mwanaume akiwa mweusi ananivutia sana hata kumuangalia tu..mweupe waaaaala
AiseeKichwa maji
Mie mwenyewe mweusi sasa huyo mweupe nimtake wa nini?Nimetoka na weusi tu naona radha zao ni mubashara hao weupe siwataki so siwezi jua labda na wao wamoNjoo na huku usome Honey Faith
AyaMie mwenyewe mweusi sasa huyo mweupe nimtake wa nini?Nimetoka na weusi tu naona radha zao ni mubashara hao weupe siwataki so siwezi jua labda na wao wamo
Hebu jitahidi kazungumzia na maswala ya msingi mkuu🤒🤒
msingi upi!?Hebu jitahidi kazungumzia na maswala ya msingi mkuu🤒🤒
vsbsnd jdmajrhmsingi upi!?
👾vsbsnd jdmajrh