Msaada tutani nahitaji suluhu hapa

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
4,802
Likes
4,663
Points
280

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
4,802 4,663 280
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza ila naomba tusaidiane hii mada hapa

Siku moja nimekaa night Club IT PLAZA HIGH SPIRIT LOUNGE
Nimekaa zangu napunguza stress
Nyuma ya kochi langu kulikuwa na mijeda kama 8 hivi
Wakawa wanabishana

MJEDA WA KWANZA
mwanamke mwenye ngozi nyeupe sio mtamu kama mwenye ngozi nyeusi

MJEDA WA PILI
Mwanamke mweusi sio mtamu kama mwanamke mweupe

MJEDA WA TATU
Mwanamke maji ya kunde ndio mwisho wa matatizo

Baada ya miezi 3 wakanifuata wadada wanalalamika kuwa

DADA WA KWANZA
Wakitembea na wanaume wenye ngozi nyeupe hamna kitu, ladha hamna wamekaa tu kama chapati ya maji (PANCAKE)

DADA WA PILI
Wanaume weusi ndio kila kitu hata wazungu wanasema once you go black, you can't go back to the white

DADA WA 3
Mie ninetembea na wanaume tangi zote 3, mweupe mweusi, na maji ya kunde ila mweusi ndio mwisho wa reli, mtamu kuliko maelezo
Chuma kikikaza kinakaza kweli kweli, chuma cheupe kikikaza kha unaweza lia kama soseji

Kwako wewe msomaji yupi mtamu zaidi ya mwenzake
Msaada tutani ooo
Tuachie comment Abeg
Thank you
 
Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
97,624
Likes
430,408
Points
280

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
97,624 430,408 280
Hahahaa kwanza kabisa nimependa hapo kwenye chapati ya maji hahaha kama yupo anisamehe tu.

Utamu wa mwanaume haupo kwenye rangi yake bali yale manjonjo na maandalizi ya ukweli,mtundu mtundu,no aibu wala kinyaa lazima umgande.

Wanaoongoza kwa kutoa kasoro wenzao ni wale ambao hawaelewi kile walichofanyiwa wao wanaona kero na vurugu tupu. Raha ya mechi utaalamu wa kushambulia na kushangilia
 
Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
15,091
Likes
19,303
Points
280

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
15,091 19,303 280
Achana na mwanamke mweusi aiseee.

Wanawake wengi weupe ni wazuri sana kwa mbali na wanatamanisha sana machoni, ila ukishamgusa hatamanishi tena.

Wana matatizo mawili moja wengi ni wabaridi mno yaani hawana kajoto joto kale muhimu kwa ajili ya mambo yetu yale, lakini cha pili wengi wana kaharufu fulani hivi huwa kanakera, nikisema neno kaharufu wazinzi wananielewa sana.

Mwanamke mweusi ni habari nyingine, ukipewa lazima siku nyingine urudi kuomba tena.
 
STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,023
Likes
14,721
Points
280

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,023 14,721 280
Achana na mwanamke mweusi aiseee.

Wanawake wengi weupe ni wazuri sana kwa mbali na wanatamanisha sana machoni, ila ukishamgusa hatamanishi tena.

Wana matatizo mawili moja wengi ni wabaridi mno yaani hawana kajoto joto kale muhimu kwa ajili ya mambo yetu yale, lakini cha pili wengi wana kaharufu fulani hivi huwa kanakera, nikisema neno kaharufu wazinzi wananielewa sana.

Mwanamke mweusi ni habari nyingine, ukipewa lazima siku nyingine urudi kuomba tena.
Hapo kwenye harufu sijui inasababishwa na nini
 
Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
4,802
Likes
4,663
Points
280

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
4,802 4,663 280
Ahahaha
Hahahaa kwanza kabisa nimependa hapo kwenye chapati ya maji hahaha kama yupo anisamehe tu.

Utamu wa mwanaume haupo kwenye rangi yake bali yale manjonjo na maandalizi ya ukweli,mtundu mtundu,no aibu wala kinyaa lazima umgande.

Wanaoongoza kwa kutoa kasoro wenzao ni wale ambao hawaelewi kile walichofanyiwa wao wanaona kero na vurugu tupu. Raha ya mechi utaalamu wa kushambulia na kushangilia
Kiruuu! Deep stuff ila wenzio wamefanya mbinu zako bado wanashangilia simba eti yanga hamba kitu

Wewe ni mweupe au mweusi?
Maji ya kunde bruh!

Achana na mwanamke mweusi aiseee.

Wanawake wengi weupe ni wazuri sana kwa mbali na wanatamanisha sana machoni, ila ukishamgusa hatamanishi tena.

Wana matatizo mawili moja wengi ni wabaridi mno yaani hawana kajoto joto kale muhimu kwa ajili ya mambo yetu yale, lakini cha pili wengi wana kaharufu fulani hivi huwa kanakera, nikisema neno kaharufu wazinzi wananielewa sana.

Mwanamke mweusi ni habari nyingine, ukipewa lazima siku nyingine urudi kuomba tena.
Word! Amen bro kweli kabisaa

Hahahaha ngoja waje wenye rangi zao wajielezee km ni chapat za maji (PANCAKE) au ni chapat za kusukuma
Ni sheedah! Rangi nyeupe haikazi chuma, yeleuuuwi, ndoroboee ngoja nikanunue gazeti nijipepeee

Semeni yote mwanamke mweupe nitazidi kumpenda daima tu
Naona wewe upo team winter

Inamaana ujachungulia avatar yake?
Kiru hamnaga kitu kama hicho me mke wa mtu ivoo

Wanawake weupe wengi ni warembo ila wanawake weusi wengi wanamvuto wa kimapenzi.
Huwa nikimuona mwanamke mweusi haswa mrefu na mwenye nyama, huwa navurugwa sana.
Kiruu bwashee tisha sanaa

Naomba kujua rangi yako mleta uzi........ Wewe ni Mweupe, Majiyakunde ama mweusi...
Naomba tuanzie hapo kwanza
Maji ya kunde na wewe je bwashee!
 
Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
16,585
Likes
20,420
Points
280

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
16,585 20,420 280
Ahahaha

Kiruuu! Deep stuff ila wenzio wamefanya mbinu zako bado wanashangilia simba eti yanga hamba kitu

Maji ya kunde bruh!Word! Amen bro kweli kabisaa

Ni sheedah! Rangi nyeupe haikazi chuma, yeleuuuwi, ndoroboee ngoja nikanunue gazeti nijipepeee

Naona wewe upo team winter

Kiru hamnaga kitu kama hicho me mke wa mtu ivooKiruu bwashee tisha sanaaMaji ya kunde na wewe je bwashee!
Naomba ujibu barua yangu kule pm tafadhali...
 
Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
4,802
Likes
4,663
Points
280

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
4,802 4,663 280

Forum statistics

Threads 1,191,696
Members 451,730
Posts 27,717,962