kimugina
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,143
- 577
Niliimba hardcore wadosi wakachomoa ... bwana eeee toa hiyo inaboa
Nikasema niimbe commercial nikajua itaniokoa ... msoto ukazidi badala ya kupoa
Mie masikini wa bahati ... tajiri wa mikosi
Nasema sirudii tena kosa zawadi waweke MELI ... wanikabidhi na SHELI
We jamaa umenikumbusha mbali kweli ujue, Kitu cha mwanazuoni iko