Jamaldini pie
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 162
- 120
Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"
Ni ipi solution ya hii error
Nilifanya hivyo mkuu wamewekaBoss, Game za PS haziwekwi kwenye flash kama unaweka nyimbo au movie ukaangalie kqenye deki au TV yako
Hizo game zinakuwa forced kwenye flash kwa File system maalumu ambayo PS yako inatambua.
Kwa hiyo watafute watu maalumu wenye kazi hiyo wakuwekee hizo game kwenye flash na sio kusend kama unaweka nyimbo
Nilifanya hivyo mkuu wameweka
Na zinagoma kusoma na sasa hivi niko mbali na hao wanao yaingiza
Sawa mkuu ngoja tuone kama nitapata safari ya kurudi tena mjiniGame lako lipo chiped? sio kila game linasoma flash. rudi nalo kwa wataalam
Unamaanisha Elf na sio Efl sio?Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"
Ni ipi solution ya hii error
Okay mkuu wangu nilifqnikishs
Ilo ttz sio game kuna file ukibana game wanatakiwa wakuweke ambalo kazi ya ilo file ni kuanzisha gameNimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"
Ni ipi solution ya hii error
Je ulipata ufumbuzi.. au bado naweza kusaidiaNimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"
Ni ipi solution ya hii error
Nilipata ufunguziJe ulipata ufumbuzi.. au bado naweza kusaidia