Uuuwi we dada umeniliza huu wimbo nimeutafuta kweli asante jamaan naupeendaje sasa uuuuwiii
Uuuwii i wanna be your men, naupendaje aaa would be your men, i wanna be your man!
Wanaume wazamani wacha tu hawa wa sahivi watasubiri miaka 1000
kwani ,i uliponiambia haunitaki niliendelea (jokes)Ukweli unauma ee?! Ahahahaha
Maana Mkuu amesoma watu weee akaona hapa bora wakafanye kazi watajifunza la sivyo ndio kama hivi matatizo kwenye jamii hayaishi bora wafanye kazi tuHahaha!, Eti hapa kazi tu. [emoji28]
Aya ukijua uni tag nikasome poa mkuu?!Nilikua nampitia kabla ya kuanza kukupitia wewe....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wani nyie wanaume nawaandalia thread nzuri sana mtakuja kunitunza pmkwani ,i uliponiambia haunitaki niliendelea (jokes)
huo sio ukweli unakuta ni wapenzi wake ila kaachana nao
Ahahahahha ni sheeedah!Acha tu yaani, hii ndio ilikuwa mitongozo haswaa!, mpaka mdada utafikiria mara kumi kumi kumkataa mtu. Maana heshima mbele.
Halafu sijui ni sisi tu, cos wenzetu wanashauri mpaka maneno ya kuongea ili U impress mtu.
Sio kama hawa anaanza kukuita mke wakati hata hajui last name yako. [emoji2]
Ahahahahha ni sheeedah!
Me mwenyewe jana nimeitwa mke nikachoka!
hahahhaha sawa iyp inakula kwao wazee wWani nyie wanaume nawaandalia thread nzuri sana mtakuja kunitunza pm
Mnaharibu mbayaaa hata baba zenu wanawalalamikia kuwa vijana hawataki kutuskia so sie tunawashkia mademu zao mpaka wapate akili
Anzia 80 kabisaa, yaani ni kizazi cha viduku na matatoo!!! Halafu sijui wana nini, lugha wanaongea ka wanarap.... Sio wote lakini sasa kutana na hawa wa 90 ni changamoto ingineYani me nikusaidie kusema wanaume wooote waliozaliwa kuanzia mwaka 86 mpaka 1999 ni matatizo kwenye kutongoza yani sifuri hamjui wachache sana nimeskia wako vizuri ila wengi wenu ninsheedah
Ila wanaume waliozaliwa miaka ya 85 kupanda juu, OMG utawapenda buree, ni gentlemens balaa! Akikupenda hauchomoki
Me ndio maana nasema michepuko kwa wanawake haitakaa iishe mpaka wanaume wenyewe mkachukue darasa kwa baba zenu la sivyo baba zenu wataendelea kutembea na mademu zenu si hamtaki kusikia maadili, lazima mtapigwa tuu
siku hivi lami everywhere hakuna hio chance lol kiddingHakuna kitu nakumbuka Kama enzi zile za kutongozwa nabaki nachora chini aiseee, siku hizi sijui wapoje
Ahahahaha, ume maanisha ni shida ingine sio?! huko hata staki kugusa nahisi ntapewa banAnzia 80 kabisaa, yaani ni kizazi cha viduku na matatoo!!! Halafu sijui wana nini, lugha wanaongea ka wanarap.... Sio wote lakini sasa kutana na hawa wa 90 ni changamoto ingine
Mmmh! I doubt!du siku hiziii tunawamaliza adi kwenye txt tu unakutaaa tayar ukoo mushaharibuuuuuu kwelii kazii mnayooooo
Wakiendelea hukoooAhahahaha, ume maanisha ni shida ingine sio?! huko hata staki kugusa nahisi ntapewa ban
endeleeni kutubaka kisaikolojia basikwani ,i uliponiambia haunitaki niliendelea (jokes)
huo sio ukweli unakuta ni wapenzi wake ila kaachana nao
acheni kutubaka jamaadu siku hiziii tunawamaliza adi kwenye txt tu unakutaaa tayar ukoo mushaharibuuuuuu kwelii kazii mnayooooo
ni sheedah!Wakiendelea hukooo
AiseeWanapapara hao. Tujaribu sie tupo kimaridhia zaidi