Msaada tutani: Je mziki ni ndoa mpya?

Napenda music lakini mweeh mpenzi wangu hataki kusikia kitu kama hicho. Nachofanya nafungilia music ndani nacheza weee mpaka natokwa jasho naoga nalala. Huwa nafanya kama mazoezi vile. Saa zingine inabidi tu ukabaliane anachotaka mwenzi wako kama hapendi unaacha.
 
Siyo lazima kwenda kwenye muziki
Fungulia clouds au MT base sililizaaa weee, then endelea na shughuli zenu
 
live a little basi! inaboa mmekaa ndani tu mnaangaliana everyday convo.... za kazi? nzuri...chakula tayari...night babes...umeamkaje?...kazi njema...aaargh...got to live a little, maisha ni mafupi mno to have dull moments, dance ur heart out, tena nikitoka nae namtonya cheki tako lile pale alafu unamcheki usoni, mkirudi home mna mastori kama ya siku tatu ivi.
 
Hicho ndicho kinachowanyima raha hao wanaofosi fani lakini mimi tukifika kila mtu na yake tutaitana muda wa vinywaji na kuondoka tu

Hapo lazima moyo ubaki na kazi ya kusukuma damu tu
Ila watu wanaweza kurusha ndoano wakidhani uko mupweke:)
 
Back
Top Bottom