Msaada tutani-honda accord

NIGGA

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,239
639
Habari wakuu!
naomba msaada kwa wataalamu wa magari kuhusu gharama za kuagiza honda accord 2002,CIF $ 4000,Ushuru itakuwa tsh ngapi na costs zingine za bandarini,pia ningependa kujua upatikanaji wa vifaa vya hizi gari za Honda kwa Tz
Thanks accord.jpg accc.jpg acco.jpg acc.jpg
 
Leta Mchuma Nigga achana na fears on Honda. Tangu mwaka 2000 nimeown Honda tofauti zaidi ya 9. Nimekuw ana Honda Ascot, Legend, Odyssey (models 3 tofauti - RA -2, RA - 6 nimekuwa nazo mara mbili na kuwaagizia washikaji 2, na sasa RB - 1 ya 2004), Inspire (Models UA - 4 nimekuwa nazo mbili, UC - 1 pia nimekuwa nazo 2 na kumwagizia mshikaji 1), Honda Fit (Model GD - 1 nimekuwa nazo 2 pia). Naamini unajua ubora wa gari za Honda. Sijawahi kupata tatizo kubwa na gari hizi, asilani. Nimekuwa na bahati kuwa sijawahi kugongwa/gonga na kuvunja taa kwa hiyo kulazimika kuziagiza Japan/Dubai manake kweli nyingi ya Honda (ukiacha CRV) vitu kama taa unaweza usivipate. Ushauri wangu ni kuwa mwangalifu ktk uendeshaji ili kuepuka vitu kama ajali ambazo zinaweza kusababisha uhitaji spear nyingi kwa mkupuo. Spear ndogodongo kama bush huwa zinapatikana. Suspension za Honda ni nzuri sana na ngumu so sitarajii utapata shida na suspension hata kama unakaa kwenye mahandaki, mradi tu uwe unapita taratibu uwapo kwenye mahandaki. Nnae mshikaji ambaye ana Honda Accord kama hiyo yako na he is enjoying the car. ukimwona anaendesha na grin usoni utadhani chizi kumbe anafurahia gari yake. Kila la heri na ilete hiyo Accord Bongo ujiunge nasi Honda pioneers!
 
mkuu umenifurahisha sana ulivyoisifia Honda!!
sio kama makanjanja wa kukariri magari na kutishana!

Back
Top Bottom