Msaada tutani: Black beauty is gone

Wanawake wengi wanafanya hivyo ili kupata attention ya wanaume..

Lakini sio wanaume wote wanapenda mwanamke mweupe..

Bad enough weupe kwa kujichubua unajulikana kwa mtu ambaye anajua..kama hujui ndo unaweza ukadhani ni rangi ya mtu..

Wanaume wengi wanapenda wanawake wanaojipenda..na kijiamini vile walivyo..

Be you! Be real ! Proud of self made...!
 
Black beauty tunaojikubali tupo saana tu ila wakutafuta. Wanawake hakuna tunaloweza zaidi ya kutafuta attention ya Wanaume. Makalio ndo hayo ya mchina, maziwa ndo usiseme. Ifike mahali wanaume waseme basi inatosha, la sivyo miaka kadhaa ijayo hiyo saratani zitamaliza weengi sana
100% !

Team no make up..
 
Wanawake wengi wanafanya hivyo ili kupata attention ya wanaume..

Lakini sio wanaume wote wanapenda mwanamke mweupe..

Bad enough weupe kwa kujichubua unaojulikana kwa mtu ambaye anajua..kama hujui ndo unaweza ukadhani ni rangi ya mtu..

Wanaume wengi wanapenda wanawake wanaojipenda..na kijiamini vile walivyo..

Be you! Be real ! Proud of self made...!
65% likes white chicks
35% likes black chicks

But 100% likes natural skin color
 
Hapana, sipendi kuona wadada wazuri wenye sura nzuri za asili wanaishia kujikoboa. Lakini sipendi kudate dark skinned, samahani tu!!
Awkaaay!

Wanahangaika san hawajiamin tatizo
Kwakweli

I love black Beauty and natural white too
Aya boss

Na kwa mm mwanaume nikimuona KE aliyejichubua bac hapo hata relationship haiwezekaniki maana nina allergy nao, nani anayependa kuishi na mgonjwa mtarajiwa wa kansa
DUuuuu, noma sanaaa

Mkuu weupe wanapendeza kwa kwel but natural sio wa mkorogo so karibu singida ujipatie pure homozygous white achana na mikorogo ya mjini huko
Team singida vepee?! Ahahaha msingida mwenzangu nakuona nakuonaa, una promote tuu mkoa wetu

you are not black either
I am

Interesting...
Tupe basi msaada bro
 
Wanawake wengi wanafanya hivyo ili kupata attention ya wanaume..

Lakini sio wanaume wote wanapenda mwanamke mweupe..

Bad enough weupe kwa kujichubua unajulikana kwa mtu ambaye anajua..kama hujui ndo unaweza ukadhani ni rangi ya mtu..

Wanaume wengi wanapenda wanawake wanaojipenda..na kijiamini vile walivyo..

Be you! Be real ! Proud of self made...!
Amen brotha! Amen.

Mkuu singida ya Tundu lisu, kingu na nyalandu
Iyo singida ya kaskazini sio ile nayotokea mie iramba kule nkinto!

100% !

Team no make up..
Hata ukupaka makeup haikubadilishi rangi yako
Tatizo watz wanapenda makeup fake ndio maana wanatoka na sura nyeupee au kama karoti afu shingo nyeusiii kama mkaa

Ina maana Nchemba kasahaulika?
Hehr nashangaa
 
Mkuu weupe wanapendeza kwa kwel but natural sio wa mkorogo so karibu singida ujipatie pure homozygous white achana na mikorogo ya mjini huko
Hamna utulivu, hata maharage yanachelewa kuiva. Watu wa huko ni vicheche mno.
 
Hamna utulivu, hata maharage yanachelewa kuiva. Watu wa huko ni vicheche mno.
Sasa niambie mkoa gan una utulivu?, siku hizi kuna utandawazi kila sehemu ni hovyo tu mambo yavkusema kabila fulan au ukanda fulan ni vicheche yalishapitwa na wakati sasa niambie ni wa wapi wasio vicheche maana tz nzima ukimwi upo na single mother wako kila mkoa kwa hiyo achana na mawazo hasi, angalia tabia ya muhusika na sio anatokea kabila fulan au mkoa fulan
 
Hii topic imenikumbusha huu mwimbo ambapo bidada aliambiwa na boyfriend akaongeze matiti lakini yakamshinda.
Haya maneno yamesema kila kitu. It's all about the inside, huku nje hata ujibadili vipi lakini kama hauna confidence na ndani hujitambui vzr uwezo wako wewe kama wewe bila kujibadilisha, basi hata weupe fake, matiti fake, makalio fake, vyote bure.

"You can buy your hair if it won't grow
You can fix your nose if he says so
You can buy all the make up
That M.A.C. can make
But if you can't look inside you
Find out who am I too
Be in the position to make me feel
So damn unpretty.."

You can buy a hair if it wont grow
You can fish a nose if you say sooo
You can buy the make up to make a make a body
You can look inside you
Find out who am i to
Little decisions makes me feel so damn am preety
Dah umenikumbusha enzi zangu lyrics yoote ya wimbo naitema kama ilivyoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom