Msaada: Tumetapeliwa!

Sio kirahisi ivo mkuu kwanza hao jamaa pia ni smart sana huyo Nyamizi masanja apo ni victim tu pengine particulars zake za nida zimesajili hio chip bila yeye hata kujua ivo Ukimtarget huyo utamtesa tu pengine ni bibi wa watu yupo shamba huko hajui ata smartphone unakuta alienda kwa wakala akambiwa weka alama ya kidole mara mbili. Hapo kuwapata nishuhuri haswa haswa mana nao wamejipanga afu unakuta ni watu ambao bado wapo kwenye hizo kampuni japo mshahara haujawahi kutosha ila kuna vitengo lazima viangaliwe sana haswa kwa vetting na masirahi kabla mtu hajasaini contract kimojawapo ni hicho IT
 
Mkuu pole sana, ila nikwambie tu wizi huo upo. Kuna jamaangu alinisimulia kwamba kipindi yupo lockup (rumande) alipata kuwa na urafiki na jamaa wawili amabo walikuwa na kesi ya cyber crime.

Asa kuna siku akaletwa jamaa mmoja ambaye, jamaa wakataka wampige tukio mulemule ndani. Walichofanya walimuomba simu jamaaa ili wampigie mtu.( pale kituoni ukiwa na mkwanja hadi simu unaruhusiwa kuingia nayo).

Jamaa akawapa simu, yaan kwa kama dk 5 jamaa kashajua kuwa mshkaji ana laki tatu tigo pesa, hajajiunga simbanking yoyote na pia ana muda wa maongez elf 30.

Kwanza walisikitika sana kukuta jamaa hajajiunga na sim banking , ila wakapanga mchakato wa kuikwarua ile laki 3. Ponea ya yule jamaa ni kuwa ilipofika mida ya lunch wakamlilia njaa hawana hela. Basi jamaa akawatumia laki moja kwenye simu. Ndo ikawa ponea yake.

Ila hiyo michezo ipo, na wanapenda sana wakute umejiunga na sim banking. Na kuwakamata ni ishu maana wenyewe wanajua jinsi ya kuangalia simu zao kama kuna mtu anawatrack. Wanakwambia hawezi kukaa nusu saa bila kuangalia kama kuna mtu anamtrack , akikuta anatoa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii korona dunia nzima uhalifu umeongezeka mno kwasababu njaa ni kali sana.

Life tite hadi wezi wawili wanamvizia mpita njia wampige kabali wampokonye muhindi wa kuchoma anaotafuna njiani 🤣
 
Hujatapeliwa wewe,wenzako wakishspiga tukio line wanatupa, af unakuta jina Feki pia.af ukumbke vitengo vya cyber bado sana kufatilia matukio kama hayo

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
huu wizi upo mfanyakazi mwenzangu aliibiwa elfu 76 m pesa kwa vijana hao hao mwaka wa jana ,mtindo kama unafanana isipokuwa wao walimwambia awashe simu baada ya dakika 10 na alipowasha kila kitu kilikuwa kinagoga.Kuna uzi fulani humu ulikuwa unatahadharisha wizi wa aina huo kama sikosi unaweza kutafutwa
 
Mpunga umeenda? Huyu naye ni mshukiwa namba moja... Anapataje ujasiri wa kutamka maneno hayo? Mbane vizuri hiyo pesa imetumika kwenda kumkamulia hotel flani hivi tulivu...

 
Bado inakuwa ngumu sababu nmb kusajili namba hadi uende counter. Kwenye atm mara nyingi zinasumbua. Na huwezi badili namba kwa simu.

Jamaa kachezewa
Kuna kitu huyo wife wa jamaa hajasema ukweli.

Hapo utakuta aliambiwa anunue kifurushi kwa njia ya tigopesa jamaa akachungulia akaona wakati anaingiza namba ya siri ambayo muhusika anaituma namba hiyo-hiyo kwenye sim banking pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! Hapo chacha
 
huwa tunaomba kitambulisho na wengine mnatumia tarehe zenu za kuzaliwa kama password hapo huwa tunajaribuzari la mentali
 
Vipi mpunga alirudisha!! Dadeki sitaki kusikia tena hawa vijana wasajili laini!! Ndo maana mjini siamini mtu hapa na huwa sina ya huruma hata kama mtu anaishida..wengi ni wapigaji
 

Mkuu Sio kwamba ukituma elfu 20, wanakata na nyingine 20, halafu kny account yako inaonyesha umekatwa 20 badala ya 40?? Au nakua paranoia siku hizi lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…