uludodi
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 576
- 915
Naomba msaada JF DOCTOR tatizo la tumbo linaniuma sana unapokaribia mda wa chakula mfano saa 5 asubuhi linaanza mpaka nile ndio linatulia na jioni linaanza mida ya saa 12.
Nimepima sana na napewa dawa linaacha kama miezi miwili halafu linaanza tena msaada naomba kama kuna ufumbuzi nitumie dawa gani?
Nimepima sana na napewa dawa linaacha kama miezi miwili halafu linaanza tena msaada naomba kama kuna ufumbuzi nitumie dawa gani?