ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,018
- 7,222
tuseme kama nkidhibiti mafundi naweza kufanikiwa??
Ramani ningeweza ku-attach hapa but sina soft copy yake.
But Nyumba ni vyumba vinne vya kulala, viwili juu Na viwili chini.
Library juu, wakati jiko Na stoo chini.
Self container ni kimoja cha juu tu.
Kitakachoamua kama inatosha au haitoshi ni uimara wa msingi, zege la kati na aina ya paa.
Kiujumla jumla tu jibu rahisi ni kwamba mil 85 inatosha, lakini kuwa specific zaidi ni lazima tujue surface area ya ramani yako na ubora utakaochagua.
Ninaposema inatosha nabreak down hivi:
Msingi mil 20
Zege la kati mil 20
Matofali mil 15
Mchanga, Kokoto, Mawe, maji mil 5
Mazagazaga mengine (Ufundi, nondo, mbao, mirunda, misumali) mil 20
Dharura mil 5
Mkuu, hapo na gharama ya fundi na vibarua imo vile vile? Vipi Plumbing na wiring mkuu au sio sehemu ya nyumba kukamilika? Vipi lipu na sceptic tank n.k. Nafikiri mwambie ukweli huyu Bwana kwamba milioni 85 hazitoshi kujenga ghorofa!!!!!
Tiba
Ahsante sana kaka.Well i used to have the same mind set when i was building my first house,kujenga nyumba ya hadhi kulingana na eneo.....ukweli wa mambo nyumba ya kushi mwenyewe ya thamani kuubwa wakati wewe bado mtafutaji hailipi......so ukishajenga hilo ghorofa lets say ukamaliza kwa uwezo wa mungu,je utakaa mwenyewe au utapangisha kuigiza kipato,na kama utapangisha kwa bei gani ambayo italipa kama investment?......nadhani ni bora kuangalia tija zaidi......kama vp hicho kiwanja Kiwekee uzio hata senyenge na edge ya michongoma after three years kitakuwa na bei pouwa kabisa,at the same time nunua kiwanja maeneo ambayo kuna mahitaji ya makazi kwa watu wenye kipato cha kati jenga simple houses!
Kaka hao wakandarasi sio ndo wana bei ya kuua kabisa?JF, kuna watu wa kila aina. lakini nakushauri, kwanza sio vizuri kutangaza hela uliyonayo. pili kuwa makini na pesa hiyo, itakuja kukuumbua. tatu tafuta wakandarasi, waombe ramani au nenda kwa wachora ramani, nunua ramani utakayovutiwa, halafu peleka kwa mkandarasi. mkandarasi atakadiria shekeli zinazohitajika kukamilisha ujenzi, ukiridhika naye mpe kazi hiyo, saini mkataba kazi ianze.
huendi kwa mmoja, unatembelea wakandarasi kadhaa. ndo watakujengea nyumba nzuri. gorofa huwezi kujenga kwa kutumia mafundi wa kawaida, unatumia makndarasi ili yeye aajiri mafuni wa kawaidaKaka hao wakandarasi sio ndo wana bei ya kuua kabisa?
bhatu bana!Well i used to have the same mind set when i was building my first house,kujenga nyumba ya hadhi kulingana na eneo.....ukweli wa mambo nyumba ya kushi mwenyewe ya thamani kuubwa wakati wewe bado mtafutaji hailipi......so ukishajenga hilo ghorofa lets say ukamaliza kwa uwezo wa mungu,je utakaa mwenyewe au utapangisha kuigiza kipato,na kama utapangisha kwa bei gani ambayo italipa kama investment?......nadhani ni bora kuangalia tija zaidi......kama vp hicho kiwanja Kiwekee uzio hata senyenge na edge ya michongoma after three years kitakuwa na bei pouwa kabisa,at the same time nunua kiwanja maeneo ambayo kuna mahitaji ya makazi kwa watu wenye kipato cha kati jenga simple houses!
kakaangu kwa hiyo hela yako mimi najenga mijengo miwili ghorofa pamoja na kaself sehemu nyingine,Wadau,
Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji,
Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari ninacho,
Nauliza tu kwa mgao huu naweza kupata Nyumba ya Ghorofa 1 kwa mahesabu ya Fundi + Materials??
tuseme kama nkidhibiti mafundi naweza kufanikiwa??
bhatu bana!
Mtu kackwambia anataka nyumba ya kuishi wdwe unamshauri ya kupangisha, unajuaje hiyo ya wapangaji
tayari anayo au haitaji?
Chaajabu unamshauri na kiwanja auze baadae haitaji hayo yeye anachotaka ni gorofa
Kaka boss wangu ni member hapa Jf na anaijua username yangu,
Akijua nina 85Mil ya kujenga ni kesi.
Najenga Kibada!!