Msaada; Trial ya QuickBooks nashindwa kuinstall kwenye PC

Msaada; Trial ya QuickBooks nashindwa kuinstall kwenye PC

BUFALO

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
300
Reaction score
273
Salaam wakuu. Nimejaribu ku download free and trial QuickBooks lakini napo jaribu kuinstall inanitaka niweke pin,
Msaada mwenye ujuzi zaidi au au kink anisaidie

Natanguliza shukrani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom