Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada TRANSCEND

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Maswi, Jul 24, 2012.

 1. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nina External hard disk yangu ya TRANSCEND but haisomi kwenye DVD player inayosoma USB, Kwenye computer haina shida yoyote. Naomba msaada please kwa mwenye ujuzi huo.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 14,393
  Likes Received: 3,254
  Trophy Points: 280
  Unaposema haisomi unamaanisha haidetect kabisa au inadetect ila mafile hayasomi

  Kama mafile hayasomi ina maana format ya hivo vitu dvd yako haisuport

  Sema aina ya dvd na aina ya mafile unayotaka kuyaplay
   
 3. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 5,984
  Likes Received: 1,517
  Trophy Points: 280
  Ni kweli maelezo yako hayajajitosheleza ila kama mdau hapo juu alivyosema. DVD nyingi zina support MPEG,MP4,MP3 n.k sasa wewe huwezi kuweka movie za VOB au AVI ukategemea zikasoma NEVER. kwahiyo angalia DECK yako ya DVD inasupport nini na Uangalie Format za mafile yako.
   
 4. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na vile vile uchecki kama ina virus! Mie ilishawahi kunitokea, kumbe external ina virus!
   
 5. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  inadetect but inesema no file, tatizo kuwa nikitumia EXTERNAL hard disk nyingine inasoma na hata flash nyingine inasoma with the same format ya mafile.
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,185
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  jaribu kutoa video moja afu usiiweke ndani ya folder lolote (yaani uiweke in such a way ukifungua tu HDD direct unaiona ) then ujaribu...wakati mwingine deck huwa hazifungui files zilizopo ndani ya folders kwa baadhi ya external devices mpaka uwe umeziweka waziwazi..
   
 7. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  deck zinafungua folder bila shida, hata hivyo hizi movie or nyimbo hazipo kwenye foldder. na ni hivi nikiweka kwenye external hard disk nyingine zinasoma bila chenga.
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,185
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  basi kuna tatizo kwenye HDD yako, afu hizi TRANSCEND si zinakuaga na kama ki button flan hivi(sijajua ni cha nini coz sijawahi itumia hii HDD)..isijekuwa ina lock flani hivi..(just thinking) otherwise i have no idea what problem might be!!
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,718
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Nenda My Computer, Right-click hiyo drive yako angalia File System inayotumia, fananisha na file system ya drive inayokubali kwenye hiyo deki, kama hazifanani basi ndo litakuwa tatizo.

  Zaidi ya hapo deki zinakuwa hazipo compatible na drive zote.
   
 10. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,910
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ushauri wangu sio wa kitaalamu but try mayb it will help... Sina dvd player but huwa natumia dvd deck... Ya singsung,.

  Nikiichomekaga externa kwenye dvd af zle muv na nymbo zkiwa katka mafail tena huwa inagoma kusoma... Hapo uwa inabd nitoe contents zote niziweke njenje bila mafai... Au hata itokeaga nmeweka vzur ila kama externa ina mafile kbao huwa inagoma kusomaa.. Mpaka contents nnazotaka ziwe jujuuu tu.... Try it but its not work for hundred percent...
   
 11. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,045
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hiyo deki ni Brand gani?
   
 12. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  deck zangu nazotumia ni SAMSUNG and LG, but ushauri wenu naona mnatoa comments bila kufwata comments zilizotangulia.
   
 13. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ina maana humu JF hakuna mwenye kuweza tatua tatizao hili? tusaidiane waungwana.
   
Loading...