Msaada - Toyota Noah

Msaada - Toyota Noah

vipik2

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
2,853
Reaction score
2,272
Wandungu zanguni naomba msaada wa kuelekezwa hapa Dar es salaam mahala ambapo naweza pata kununua viti vya nyuma, Carrier, ngao ya mbele na nyuma vya Toyota Noah,

natanguliza asante!
 
Nenda barabara ya Tandale utapata kwa bei poa sana wanakatakata magari kule
 
nenda kariakoo mtaa wa swahili kuna maduka mengi wanauza waweza pata ulizia huko
Wandungu zanguni naomba msaada wa kuelekezwa hapa Dar es salaam mahala ambapo naweza pata kununua viti vya nyuma, Carrier, ngao ya mbele na nyuma vya Toyota Noah,

natanguliza asante!
 
Back
Top Bottom