Msaada: Touch ya samsung S8 haifanyi kazi.

Msaada: Touch ya samsung S8 haifanyi kazi.

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,076
Reaction score
15,057
Wakuu nina kimeo changu samsung S8 touch yake imeacha kufanya kazi ghafla bila kuiangusha wala kuipa shuruba yeyote. Nimejaribu kubadili display nzima ila tatzo liko pale pale ikabidi nirudishie ya zamani. Mwenye ufahamu wa hili jambo nmaomba msaada wa maelekezo na ufundi.

Thanks in advance.
 
Weka Complete LCD grade A siyo hizi fekelo za maji ya mchele
 
Mkuu mjini
Jari u kudownload app za toch kwe play store... Lakini ndugu kama unapoishi ni mjini umeme kila nyumba torch ya nn...ukinijibu nitashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeme wa mjini si wa uhakika lazima uwe na zana mpaka stigo joji asimame...
Ila hapa nimemaanisha touch yani mpapaso, mguso, mpalazo na si torch yani tochi ya kumulikia....
Asante kwa mchango...
 
Mkuu njoo inbox tuangalie namna ya kusaidiana...Nina s8 yangu ina crack Ila touch ipo vizuri...Labda tunaweza kusaidiana.
Wakuu nina kimeo changu samsung S8 touch yake imeacha kufanya kazi ghafla bila kuiangusha wala kuipa shuruba yeyote. Nimejaribu kubadili display nzima ila tatzo liko pale pale ikabidi nirudishie ya zamani. Mwenye ufahamu wa hili jambo nmaomba msaada wa maelekezo na ufundi.

Thanks in advance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilo ni famba la dubai nini ....kama ni Og si urudishe dukani upewe nyingine kwenye warranty??

Mana S8/8+ OG ina 2 yrs warranty...na toka zimeingia hapa Tanganyika miaka miwili kamili bado haijafika!

Rudisha upewe mpya otherwise unamiliki famba la dubai!
 
Ni 1 year warranty na ishapita muda
 
So far nimefanikiwa kutoa password kwa kutumia OTG device na kutumia mouse... Nimefanikiwa kupata backup ya documents zangu na picha.....
 
Back
Top Bottom