ππππHahhhh jobless mbishi sana huyu anafikiri watatoa ya darasa tu ,kumbe mambo ni tofauti kabisa hapo Kuna software lazima ujue zinatumikaje na hizi drilling process ajue steps zake na methods zake afu anabishana
Yeye inatakiwa akubali kusaidiwa kisha asikilize anachoelekezwa sasa yeye anakuja na mawazo yake au anadhani IT wa TPDC anafanya kazi sawa na IT wa TCRA. .kila taasisi inampangia mtu majukumu tofauti