MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

ThisIsIt

Member
Oct 4, 2022
31
63
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. Ninategemea hivi karibuni kuitwa kwenye interview na PSPRS kada ya ICT OFFICER(QUALITY ASSURANCE). kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya kada hiyo naomba aniambie nisome mambo gani hasa ili nijiandae vizuri. Natanguliza shukrani zangu kwenu🙏🏽
 
Cha msingi soma notes zako zote za darasan,,elewa mambo yenu ya ICT kwa ujumla Maana written interview hajijulikani aisee ndg
 
Unaomba msaada then hutaki kisaidiwa mie nimekuambia weka job description nikuambie topic za kusoma hutaki haya pambana mkuu Kwaheli
Mkuu samahank kama jibu langu limekukwaza..nimefanya sana hizi interview na practical pia nimefanya..sijawahi kukutana na chochote kutoka kwny zile job descriptions kwa upande wa ICT labda kada nyingine
 
Tatizo hutaki kusaidiwa Sasa wewe umefanya sana lakini kuna waliofanya na wanaelewa interview zinaendaje ,ungetuma wakusaidie aliekuomba job description unadhani Hana akili?
 
Mkuu job description kwenye written hazifanyi kazi..sisi watu wa ICT hata oral hauulizwi job description ni maswali tofauti kabisa
Sasa unasema hujawahi kufanya halafu unajua huwa hawatoi kitu fulani.

Usibishane na waliowahi kufanya, tena wengine wana barua za kuitwa kazini.
 
Mkuu samahank kama jibu langu limekukwaza..nimefanya sana hizi interview na practical pia nimefanya..sijawahi kukutana na chochote kutoka kwny zile job descriptions kwa upande wa ICT labda kada nyingine
Utakiwa loser sana, umewahi kufanya tena mara kadhaa halafu haujajua usome wapi.

Kwa zile za mwanzo maswali yalikujaje, au weka maswali uliyowahi kuyafanya, watu wayaone wajue namna gani ya kukusaidia
 
unazijua software za petroleum?hiyo post si zile za tpdc au?maswali yenu hayatabase kwenye IT
IT itakuwa kidogo sana
Sasa asingetuma job description tungejuaje kama TPDC wakati ICT yupo kila sehemu

Jobless jeuri huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…