Msaada: Tofauti ya mshahara wa mwalimu na mtangazaji

Msaada: Tofauti ya mshahara wa mwalimu na mtangazaji

Polen kwa shughul na mihangaiko ya hapa na pale wakuu wenzang!!

Bila kupoteza wakt naomba nijikite kwenye thread yang alasiri hii~

Naomba kuuliza kwa wanaojua au wasiojua japo ushasikia..MSHAHARA wa degree ya Mwalimu ni sawa na mwenye Degree ya Utangazaji studio??
Acha umbea mtoto wa kiume....unafuatilia mishahara ya watu ili iweje?.....pole sana aiseeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom