Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,013
mwalimu wa degree analipwa 412,000,000/= na mtangazaji ,445,000/=
DAAH MASWALI MENGINE YANAKERAAAA
Kwa Taifa lipi?viwango vya mishahara na posho Tz haizingatii kiwango cha elimu kwa mujibu wa selikari ya magufuli kwa mataifa mengine viwango vinakuwa Equally kwa kiwango kinachofanana eg mwenye Musters ya Education na musters ya uchumi au n.k akiwa Ulaya yote viwango vya malipo sawa kwa mwaka wa kwanza watapishana ile ongezeko la kila mwaka kulingana na kukaa sana kazini mfano mtu alie sajiliwa leo kazini Hispania akiwa na muster atatofautiana na yule aliyesajiliwa miaka mitatu iliyopita kwa kitu kinaitwa ongezeko la mshahara kwa kufanya kazi one year,hii ipo sawa na united kingdom,german,Urusi,na sehemu kubwa ya America ya kusini na kaskazini pia mfumo huu upo kwa waarabu lakini sharti la waarabu wameweka uwe mzawa kwa asiyekuwa mzawa hulipwa kama kibaluwa.NB kufanya kazi Tanzania ukubali uwe punda wa Bosi ukalie ndiooo niko na ufahamu kwakuwa inchi nilizopita najua kinachofanyika.Polen kwa shughul na mihangaiko ya hapa na pale wakuu wenzang!!
Bila kupoteza wakt naomba nijikite kwenye thread yang alasiri hii~
:naomba kuuliza kwa wanaojua au wasiojua japo ushasikia..MSHAHARA wa degree ya Mwalimu ni sawa na mwenye Degree ya Utangazaji studio??
anhaah ok,shukran sn mkuu kwa kipengele chako hiki cha majibu nimekulew......Kwa Taifa lipi?viwango vya mishahara na posho Tz haizingatii kiwango cha elimu kwa mujibu wa selikari ya magufuli kwa mataifa mengine viwango vinakuwa Equally kwa kiwango kinachofanana eg mwenye Musters ya Education na musters ya uchumi au n.k akiwa Ulaya yote viwango vya malipo sawa kwa mwaka wa kwanza watapishana ile ongezeko la kila mwaka kulingana na kukaa sana kazini mfano mtu alie sajiliwa leo kazini Hispania akiwa na muster atatofautiana na yule aliyesajiliwa miaka mitatu iliyopita kwa kitu kinaitwa ongezeko la mshahara kwa kufanya kazi one year,hii ipo sawa na united kingdom,german,Urusi,na sehemu kubwa ya America ya kusini na kaskazini pia mfumo huu upo kwa waarabu lakini sharti la waarabu wameweka uwe mzawa kwa asiyekuwa mzawa hulipwa kama kibaluwa.NB kufanya kazi Tanzania ukubali uwe punda wa Bosi ukalie ndiooo niko na ufahamu kwakuwa inchi nilizopita najua kinachofanyika.
umenena mkuu........Cha Muhimu Ni Kujibu Tu Au Kukaa Kimya
Kama MTU mzima ndiyo uulize maswali maswali ya kijinga namna hiiino mkuu ungeheshimu thread yang ungenisave kikubwa sana......me mtu mzima najielewa ninachokifanya just a short research i want to conduct,
Musters?Kwa Taifa lipi?viwango vya mishahara na posho Tz haizingatii kiwango cha elimu kwa mujibu wa selikari ya magufuli kwa mataifa mengine viwango vinakuwa Equally kwa kiwango kinachofanana eg mwenye Musters ya Education na musters ya uchumi au n.k akiwa Ulaya yote viwango vya malipo sawa kwa mwaka wa kwanza watapishana ile ongezeko la kila mwaka kulingana na kukaa sana kazini mfano mtu alie sajiliwa leo kazini Hispania akiwa na muster atatofautiana na yule aliyesajiliwa miaka mitatu iliyopita kwa kitu kinaitwa ongezeko la mshahara kwa kufanya kazi one year,hii ipo sawa na united kingdom,german,Urusi,na sehemu kubwa ya America ya kusini na kaskazini pia mfumo huu upo kwa waarabu lakini sharti la waarabu wameweka uwe mzawa kwa asiyekuwa mzawa hulipwa kama kibaluwa.NB kufanya kazi Tanzania ukubali uwe punda wa Bosi ukalie ndiooo niko na ufahamu kwakuwa inchi nilizopita najua kinachofanyika.
kwako ni la kijinga kwa sababu huelewi ninachokiuliza......vp kwa waliojibu,Kama MTU mzima ndiyo uulize maswali maswali ya kijinga namna hiii
au ushakurupuka sababu ya jua kali[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama MTU mzima ndiyo uulize maswali maswali ya kijinga namna hiii
Wazee wa vyetiMimi ni mjasiriamali ngoja waje waajiriwa
"Imetaiti" sana au sio?Kumbe saiz ni alasiri
huu ni uongo uliotukukamwalimu wa degree analipwa 412,000,000/= na mtangazaji ,445,000/=
Mshahara wa ualimu unategemea na elimu pia. Kama huyo alieajiriwa 2011 alikua diploma alitakiwa apande cheo mwaka 2014 hapo angelipwa mshahara ngazi moja na degree holder anaeanza kazi mwaka huo au ht kwa miaka 3 baadae. Kama ni certificate inaweza ikawa sawa tu.Tanzania ni nchi yenye vituko sana,yaani nimeona walimu na madaktari walioajiliwa 2011 wanalipwa sawa na walioajiliwa April/May 2017,,Kweli kufanya Kazi Tanzania yaitaji moyo.
Nikiludi kwenye swali lako kama wote ni waajiliwa Wa serikali na muda Wa kuajiliwa unafanaa ,kiwango cha elimu tuseme wote wanadegree mwalimu anamzidi mtangazaji Kwa kama tsh 25,000.(tofauti ni tsh elfu ishirini na tano)
ok, shukranInategemea na sehemu utakayoajiriwa,kama ni umma inategemea na taasisi ama shirika ulilopo,na kama ni binafsi napo inategemea na kampuni uliyopo
pamojaa sn mkuu.....Tanzania ni nchi yenye vituko sana,yaani nimeona walimu na madaktari walioajiliwa 2011 wanalipwa sawa na walioajiliwa April/May 2017,,Kweli kufanya Kazi Tanzania yaitaji moyo.
Nikiludi kwenye swali lako kama wote ni waajiliwa Wa serikali na muda Wa kuajiliwa unafanaa ,kiwango cha elimu tuseme wote wanadegree mwalimu anamzidi mtangazaji Kwa kama tsh 25,000.(tofauti ni tsh elfu ishirini na tano)
Naongelea walimu wenye degree ,na madaktari(medical doctor)ni Kweli ilitakiwa wapande madaraja 2014,lakini adi Leo hii hawajapanda bado wanasubili .Mshahara wa ualimu unategemea na elimu pia. Kama huyo alieajiriwa 2011 alikua diploma alitakiwa apande cheo mwaka 2014 hapo angelipwa mshahara ngazi moja na degree holder anaeanza kazi mwaka huo au ht kwa miaka 3 baadae. Kama ni certificate inaweza ikawa sawa tu.
ANGALIZO
Tunapojadili mishahara ya watumishi wa serikali hasa walimu tujitahidi kujadili bila kupotosha huku tukitambua mishahara yao haifanani