Msaada: The charger is over voltage

Msaada: The charger is over voltage

Ila nakushauri ungenunua pia na inverter, hii kazi yake inabadili DC kwenda AC. Ukiwa na hii inapeleka mpka 220 AC so inaueza ukatumia hata tv, redio zinazo hitaji AC.

Ila hiyo yako unaeza ukaua simu sababu simu zinapokea 5V dc, ila ukiwa na inverter wewe unachomeka tu moja kwa moja charger yenyewe itafanya rectification mpka 5V dc na utasave simu yako.

Sent using Samsung Galaxy s10 plus/url]
Sawa mkuu
Bei za inventor kwa betri la 33 AH zipoje

Size ya betri yangu inaweza washa Tv ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda kkoo chukua solar charge controller kadogo ka 5A, nyingi zina USB port
kontrola nyingi za kichina zina usb , nashangaa yako haina
Mkuu nimefanikiwa kupata hii ya 10A
Sijafanikiwa kupata 4A yenye USB port
Nimeambiwa hii inanifaa

Kwa size ya panel Watt 40 na battery 33 Ah italeta shida au ipo sawa ?
IMG_20200419_173016.jpeg
IMG_20200419_172943.jpeg
IMG_20200419_172855.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom