Msaada tenda ya kusambaza au kuuza chakula

mdafanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
618
197
Mi nikijana najishughurisha na shughuri ya kupika vyakula ni proffessional katika hii kitu naomba tenda kama shule ofisini au hospital nimejikamilisha kwa kila kitu msaada jamani
 
Safi sana mkuu.
Ngoja wasamalia wanakuja.
Lkn ni vizuri ungesema upo wap maana kama mimi nipo Mbeya sasa nakusaidiaje?
Lkn pia usiwe na aibu wala uoga li mradi umshaamua wewe ingia tu mashuleni,maofisini,hospitali na hata jeshini.
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom