Mungo Park
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 2,115
- 1,834
'Dont be like that, I am sure you know what I meant'. Wewe ukiambiwa katika usaili 'tell us about yourself' utaongea maneno yakujaza kurasa ngapi za A4??Halafu akifika kule atoe desa na kuanza kulisoma mbele yao? au ajaribu kukumbuka?
Hiyo A4 anaichapisha au anaandika kwa mkono?
Mkuu Sting una kazi leo!!!!