[emoji276][emoji276][emoji276]pole sana ushauri piga chiniTatizo hua nasikiliza mziki kwenye saboofer nachomeka waya sasa imekata sauti kwenye simu. Naomba msaada nifanyeje? simu haitoi sauti tena
Kuna mtu alileta tatizo kama lako humu na wadau wakasema ikifikia situation kama hiyo basi haitengenezeki. Nunua simu nyingine na uwe unaplay music kwa bluetooth.Tatizo hua nasikiliza mziki kwenye saboofer nachomeka waya sasa imekata sauti kwenye simu. Naomba msaada nifanyeje? simu haitoi sauti tena
Means ukiwa na earphone huwezi kua na access na shimo la chaja what a wasteHeadjack imeungua.
Nenda kwa fundi anaweza kuwa ashapata soln maana hazikuwa zinatengenezeka.
Ulimwengu umebadilika tunatumia wireless Siku hizi
msaada naitaji kutambua kati ya tecno wx3 na Microsoft lumia 540 niipi cm bora asante