uroto
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 445
- 231
Habari wana JF,poleni na majukumu,mods ikiwezekana hii thread ipeleke jukwaa la Gadgets and science maana kila nikiingia hlo jukwaa hamna sehemu nayoweza kupost
Nimei restore Tecno w5 kupitia clear eMMC,baada ya restore nikiiwash ainaniandikia "UNABLE TO START,SET WI-FI"
Msaada wenu wakuu
karibuni
Nimei restore Tecno w5 kupitia clear eMMC,baada ya restore nikiiwash ainaniandikia "UNABLE TO START,SET WI-FI"
Msaada wenu wakuu
karibuni