asanteni nimefanikiwa,nilichokifanya nimeingia settings-storage-sd card,hapo kwenye SD card nikabofya vidodi vitatu juu kushoto,nikabofya create folder hapo nikatengeneza folder3(video,apps,images) baada ya hapo nikarudi kwenye file manager nikabofya sehemu ya video nakuweka tiki hizo video,chini nikabofya sehemu yenye alama ya mkasi,ikanipeleka kwenye SD card,nikabofya SD card,nikakutana na zile folder nilizoziunda kwahiyo video nikaingiza kwenye folder yake,kadharika apps na images,folder yake.