Msaada :TECNO P 3 nikipigiwa eti Namba Busy!!!!

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
habari wana jamvi,simu ya rafiki yangu imepatwa na tatizo kwamba kila mtu anayempigia anaambiwa namba is bize naomba mwenye kujua tatizo atufahamishe aina ya simu ni tecno p 3.nitashukuru sana kwa ufumbuzi wa tatizo hili
 
mwambie afute namba alizo save kwenye orodha ya waliozuiliwa "blacklist numbers"
nilipomwambia anipe siku mbli ni kuwa hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo. niliflashi simu ya mtu nikapata hilo tatizo. mimi sikuwa kwenye blacklist ila ilikuwa bize.
 
Wanatecno njooni mtoe msaada hapa, isiwe tu kwenye mijadala ya kuifagilia tu na kwenye matatizo muonekane nako!
 
nenda kwenye security then factor data reset. ila jiandae ku download upya application ulizokua ume download awali
 
nenda kwenye security then factor data reset. ila jiandae ku download upya application ulizokua ume download awali
nashukuru sana mkuu imenisaidia sana tatizo la jamaa angu limekwisha kabisa
 
Back
Top Bottom