Msaada tecno J8 inachelewa kujaa Chaji!

Msaada tecno J8 inachelewa kujaa Chaji!

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,088
Reaction score
2,174
Mpaka kujaa inachukua masaa 12! huu mda si wa kawaida wakuu cjui tatzo nini? Mara nyingi nachaji usiku wakati nimelal [emoji26][emoji51][emoji56]
 
Vitu vingine mbona viko wazi kabisa...halafu hawa ndio wanakuja baadae wanalaumu tecno simu zao mbovu kumbe mijitu yenyewe tu haijielewi anatumia tecno ila chaja anayotumia ya Itel sasa hapo unategemea charge ijae kwa muda gani...kwanza kwa masaa 12 imewahi sana hiyo ilitakiwa ikae 24 hours kama vituo vya sheli
 
Mpaka kujaa inachukua masaa 12! huu mda si wa kawaida wakuu cjui tatzo nini? Mara nyingi nachaji usiku wakati nimelal [emoji26][emoji51][emoji56]
Hilo ni bomu sio simu...

Angalia kama charger ni compartble na simu..., Angalia pia adapter na USB cable...Angalia output power ya charger..
 
Hilo ni bomu sio simu...

Angalia kama charger ni compartble na simu..., Angalia pia adapter na USB cable...Angalia output power ya charger..
Ushauri mzuri mkuu ila mashine hii iko vizuri acha kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom