BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Nimefanya factory reset imewipe data na kuanza upya ila imehitaji email account nlyokuwa naitumia ila mi nimesahau email kwani alienifungulia hii simu kwa sasa sina mawasiliano nae msaada niko Dar wakuu