Msaada: Tecno H8

Msaada: Tecno H8

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,846
Reaction score
2,402
Kuna hii tecno h8 kila ikiwashwa inaleta maandishi Unfortunately power efficiency management has stopped. Hapo inakuwa hakuna uwezekano wa ku-access chochote. Msaada tafadhali
 
Hapo unamaanisha nini wakati inawaka lakini haionyeshi chochote zaidi ya maandishi hayo?

Mkuu ana maanisha simu ya kichina haikawii kukuletea maajabu ukashangaa.

Ngoja waje wazoefu wataleta uzoefu wa ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom