Msaada tecno f7 kwa wanaofahamu

Msaada tecno f7 kwa wanaofahamu

mapunda b

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
418
Reaction score
19
Wakuu tecno f7 inakataa kafanya video call hasa kama nataka kumpigia mtu ila nikipigiwa inakubali.
Nikitaka kupiga inaandia 'VIDEO CANT BE SET UP',sijafaham nifanyaje apo ili iwe poa msaada tafadhari...

Thanks in advance
 

Attachments

  • Screenshot_2014-04-14-21-37-13.png
    Screenshot_2014-04-14-21-37-13.png
    17.9 KB · Views: 133
angalia hapo kwenye Mnara hakuna Data (Data Is Not Enabled)..

1.kabla hujafanya video call , hakikisha kwanza DATA is enable (Tena lazima iwe 3G),
2. Video call inatumia 3G internet or wi-fi only , haiwezi kukubali kwenye Edge
3.unayempigia lazima awe na simu inayo support video call.
4. kumbuka ku- Enable Data kwenye Line-1 kwa sababu line-2 haina 3G.
5.Hakikisha una-bundle



Wakuu tecno f7 inakataa kafanya video call hasa kama nataka kumpigia mtu ila nikipigiwa inakubali.
Nikitaka kupiga inaandia 'VIDEO CANT BE SET UP',sijafaham nifanyaje apo ili iwe poa msaada tafadhari...

Thanks in advance
 
But nmejaribu kuenable data but naona inafanya vilevile
 

Attachments

  • 1398800500458.jpg
    1398800500458.jpg
    25.6 KB · Views: 55

Similar Discussions

Back
Top Bottom