Chomoa battery kama dk2 then washaMara Baada Ya Kuifanyia Hard Reset Imeshindikana Kumalizia Kufanya Initial Setup Kutokana Na Kushindwa Ku-bypass Wifi Connection. Option Ya Ku-Skip Hatua Hii Imeshindwa Kufanya Kazi. Msaada Tafadhali!!
Hyo ni un removable battery mkuuChomoa battery kama dk2 then washa
Asante Mkuu, Nitaleta Mrejeshomkuu hio ni feature mpya ya android simu ikiwa na security kama pattern au password ukireset itataka ueke wifi halafu itadai email na password ya hio simu kabla hujaireset.
angalizo hakikisha kabla hujareset simu unaijua email na password.
simu yako ina otg? kama inayo ipo njia ya kubypass kwa kutumia flash kama haina otg nafkiri box zinabypass pia. muone fundi anaeflash na box dakika 1 tu tatizo litaisha
Kweli Kabisa, Chief AmeelewaNdiyo lugha gani hiyo Mkuu? Nimesoma mara tatutatu bado sijakuelewa. Lugha hii wataelewa akina CHIEF MKWAWA