Msaada jamani ndugu yangu leo alikua anafanya application kwaajili ya chuo but alipoanza kujaza ile form ile kataaa kwani wamedai alisha wahi kuomba vyuo.Kulipia amesha lipia na chuo aliomba kweli tangia mwaka 2012 ila mwaka jana alisitisha masomo kwa sababu mbalimbali likiwemo tatizo la kukosa ada.Brother kama kapaniki hivi wakuu tupeane msaada ili tumsaidie brother.Pls nisaidiene mwana wamkulima jamani