Msaada TCU, HESLB: Naweza kubadilisha course?

Davis chelsea

Member
Jul 28, 2011
93
10
Nimepangwa bachelor of science with eduction n sitaki kuja kufundisha nipeni maujanja hapo....mi naona niunge masters
 
Wenzio wanawaza mkopo,we unaleta upu upu huku,ebu kawe mwalimu huko.
 
we dogo una laana au,sio ajabu kwenu ndo maskin wa kutupwa,afu unajifanya much know,kwani walimu sio watu au,
MAUJANJA:nenda kalime
 
Mimi swali langu hajanijibu... Kwanini alijaza ualimu???
 
Watu wengine bwana wanapenda kukufuru.....We dogo hebu kojoa ukalale, labda ukiamka akili zitakuwa sawa na wala hautakuwa na mawazo mgando kama hayo.
 
Heheheee. mwambie huyo.
Watu wengine bwana wanapenda kukufuru.....We dogo hebu kojoa ukalale, labda ukiamka akili zitakuwa sawa na wala hautakuwa na mawazo mgando kama hayo.
 
Mtoto masabur yako!!!umepata iii ukawa na hofu had ukajaza ualimu sa kudadadadadecky umepangwa unaanza kuleta usharodaro!LIONE
 
Heheheee. We kijana upo? Mbona kimya. Eti analeta usharodaro!
Mtoto masabur yako!!!umepata iii ukawa na hofu had ukajaza ualimu sa kudadadadadecky umepangwa unaanza kuleta usharodaro!LIONE
 
Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lin?. Unahisi ni rahis kuunga na masters!
 
Namuombea kwa mungu ampige mvua ya supplimentary ili aache kubeza kazi. Amepata i flat amepata chuo kwa kudra za m/mungu. Acha ***nge kasome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…