MSAADA TATIZO NOT REGISTERED NETWORK

Mango833

JF-Expert Member
May 4, 2011
4,392
20,545
Simu yangu samsung note 4 ina tatizo la network ina leta not registered kila ninapo weka lain.
naomba msaada wenu wanajukwaa
 
Angalia hiyo laini yako kama inausajiri sahihi, au la angalia hiyo cm yako kama siyo feki check IME NO: endapo kama vyote vipo sahihi basi jaribu kuifrash. Ukishindwa kuifrash nifuate inbox nikuelekeze jinsi ya kuifrashi ww mwenyewe.
 
hilo tatizo lilishatokea kwangu sumsung note 2 ilijizima tu kuwasha ikawa inaandika hvyo niliflash karibia kwa mafundi watatu haikufanikiwa..

nkabahatisha fundi mmoja ata sikumbuki aliniambia tatizo nn ila iliponaa kabisa
 
a

Alifanyaje hadi ikapona
 
Tazama nyuma ya simu IMEI namba iliyopo inafanana na IMEI iliyopo ndani ya simu kwa kupiga *#06# kama hazifanani jiandae kununua Certificate ya IMEI number, kuna mtu nafahamiana nae nitakuunganisha nae, yupo humuhumu Jf.
 
hazifanani
 
Mr hii si ni kurepair tu . Kununua tena?
 
simu iyo ipo kwenye blacklist hapo na tatizo ilo lipo kwa simu nyingi na linaendelea cha msingi tafuta cert au qnc file then flash ,,jaribu bahati yako
 
Back
Top Bottom