Mimi sinaga wivu mkuupunguza wivu na uchoyo.. kila kitu kitakaa sawa!
Mpe dawaSasa kama unajua tatizo lako hasira unataka msaada gani?!
Dawa ya kumpa unayo wwMpe dawa
Kwavile umeshajua tatizo ni vizuri ukaanza kulifanyia kazi.HAbari wana JF
Mimi nina tatizo ni kua na hasira sana yaani sijaligi ata kama ni mkubwa wangu mdogo au ata rika langu wote huwa nawagombeza na hata kupigana na kuwatukana sana
Baada ya kufanya hvo ndo najishtukia kua nmekosea ila ndo teari unakutashafanya sasa najiapiza kua nita jicontrol au niache kabisa but nashidwa kabisaa
Msaada pleas ili niweze kua kwenye hali yangu ya kawaida sasa hivi naogopeka na ndugu pia ata marafiki ata mchumba wangu ananiogopa sana nikimuambia kitu habishi kabisa na anafanya coz anajua balaa langu mm naona kama namtesa but ndo hvo nashindwa kuacha naombeni ushauri pleas.
Ili niache kua na hasira mkuuSasa kama unajua tatizo lako hasira unataka msaada gani?!
Shukrani sana mkuuKwavile umeshajua tatizo ni vizuri ukaanza kulifanyia kazi.
Ukishikwa/patwa hasira tena jaribu kujaza maji mdomoni bila kumeza kwa dakika kadhaa...
Kitu kingine jiondoe/ondoka/kimbia pale unapohisi hasira zinaanza kupanda...na urudi baadae zikishapungua ili uweze kujielezea.
Usijali watakufikiriaje umewakimbia kwani utapata mda wakujieleza vizuri hapo baadae.
[emoji5][emoji5][emoji5]
Njoo basi ww unipunguzeeKapunguze nyege wewe