Salaam wakuu,,,
Techno wx3,, ina tatizo la kujaa hadi kufikia nashindwa kufungua apps nyingi hata kupiga simu au kufungua na kutuma SMS! Inaandika " internal storage running out"
Ikifikia hatua hii siwezi kufanya chochote hadi nifute baadhi ya vitu kwa ajili ya kuongeza nafasi kwenye internal storage hapo ndipo naweza kupiga simu, kutuma SMS na kufanaya mambo mengine
.
.
NB: tatizo hili halitokani na Mimi kudownload vitu kwani linatokea automatically hata kama situmii simu lakin kuna mda unafika unakuta internal storage inapungua kwa kasi!
Nini kinasababisha hili??! Na ni namna gani naweza kutatua hili tatizo?!! Msaada tafadhali
Natanguliza shukrani

lenye jina whatsapp. Lifungue ndani Kuna folders nyingine. Fungua lenye jina media,lifungue utaona folders nyingine zenye picha, video, documents nk. Nk. Futa sent items zote kwenye kila folder nililo taja Kisha urudi kushukuru hapa 