Natumia tecno p3 ina support 2 line leo asubuhi ghafla imegoma kuwaka.
Msaada pls
Fanya majaribio ya fuatayo ili kujua kama simu itakuwa imezima kabisa.
(1)Badilisha battery, kama hauna ya tecno kama hiyo jaribu kutumia hizi la nokia za kawaida kwa kuibana pale kwenye terminal ya simu maana ni dogo kisha washa.
(2)Chaji battery yako kwa kobe.
(3)Kama ilizimika ikiwa chaji, hapa mita inahusika kupima zile terminal ili kujua kama imeshoti.
(4)Kama iliszimika ikiwa unatumia net, basi hapa ni software peleka wajaribu kuiflash.
N.B
Hili simu za kichina aina ya mediatek(tecno,itel,gtide), spreadtrum(Samsung,King,nokia) Rda(Nokia,landrover,blackberry) mara nyingi sana kama imezimika kwenye kuflash huwa haziwaki.
Marekebisho yake mara nyingi ni hardaware.
Simu ambazo ni original ndio zinaweza kuwaka.