Poleni na majukumu wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka nataka kuiweka sokoni,tatizo ni tathmini kujua current market value, ni 2bedroomed house ya 1998,ukubwa wa eneo ni miguu 15/17 approx.eneo halijapimwa. Naomba mwanajamii mwenye uelewa please nijuze nifanyeje ili nifanikishe zoezi hili. Asante.