MSAADA: Tapeli wa Skype

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Wakuu heshima mbele, leo ninakuja kishida shida zaidi,

nina skype a/c, lakini kuna mtu ambaye hata simfahamu naye amefungua skype a/c kwa full name yangu, kwa hiyo tunatofautiana skype name.

kwa mfano:

full name: Endangered Specie
Skype Name: Endgs1


yeye amekuja na kitu kama hiki

full name: Endangered Specie
Skype Name:Especie

So kwa wadau ambao huwa nawapa skypoe name yangu (Endgs1), huwa wanapotea nakuchua ya jamaa as my hime town ni Dar, ambayo ameiweka inaonekana.

My question: Is there a way ya kuicease hii a/c ya mtu tapeli nisiyemfahamu, (maana nimecomfirm na mtu wa pili kwa sasa kuwa alimuadd yeye badala ya original mimi. Sasa sijui kwa wanaonitafuta ili nipate ugali) sijajua ni opportunity ngapi zimenipita. Msaada tafadhali!
 
Huyo jamaa amefanya lolote kuwadanganya watu kuwa yeye ni wewe? Kama hajafanya kitu basi hakuna kosa hapa ni mgongano wa majina tu, waambie marafiki zako username yako ili wawe wanakupata vizuri.
Kama jamaa amejaribu kuwadanganya watu basi tuma email abuse@skype.net na utoe maelezo ya alichofanya na ushahidi wa screenshots kama unao.
 
Mkuu Kang nashkuru sana. Nitakulike kwa comp kesho!I trust jamaa is after something creepy! Kuna majina mengine hata si rahisi kufanana precisely. Nimeanza a little investigation kuona kama na namna anavyopose as me ili nijue cha kufanya. Option yako ndo no. 1 so far, thanks a lot!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom