Tatizo lako unalijua sasa ni kipi kinakupa ugumu wa kuacha kwenda kununua pombe huko unakozinywa!? 😳😳😳 UKIPATA MSHAHARA ACHA KUKIMBILIA huko unakozinywa pombe.
Hiyo mbona kawaida sana Mkuu, miezi 6 ya kwanza hakikisha unafanya upuuzi wote, gonga mademu, lewa sana fanya kila aina ya anasa baada ya miezi hiyo 6 anza kujibana maana hakuna ambalo utakuwa umefanya mkuu.
Tatizo lako unalijua sasa ni kipi kinakupa ugumu wa kuacha kwenda kununua pombe huko unakozinywa!? UKIPATA MSHAHARA ACHA KUKIMBILIA huko unakozinywa pombe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.