Msaada: Tangu nimeanza kupata mshahara nimekuwa mlevi sana. Nawezaje kuacha?

Status
Not open for further replies.

Tupa Tupa

Senior Member
Jun 2, 2019
140
107
Wakuu hivi kwanini tangu nimepata hii kazi nimekuwa mlevi sana?

Natamani sana kuacha ulevi lakini nashindwa, ushauri wenu wakuu. Pesa zote za mshahara naweza kumaliza kwenye ulevi

Tafadhali atakaonipa dawa nakufanikiwa nitamzawadia.

Asante
 
Hiyo mbona kawaida sana Mkuu, miezi 6 ya kwanza hakikisha unafanya upuuzi wote, gonga mademu, lewa sana fanya kila aina ya anasa baada ya miezi hiyo 6 anza kujibana maana hakuna ambalo utakuwa umefanya mkuu.

Kila la kheri.
 
Tatizo lako unalijua sasa ni kipi kinakupa ugumu wa kuacha kwenda kununua pombe huko unakozinywa!? UKIPATA MSHAHARA ACHA KUKIMBILIA huko unakozinywa pombe.
sijasema ulevi wa pombe mkuu, nipe ushaul niache ulevi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom