Msaada Tanesco...

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,498
2,000
elec016: The Tendered Amount is insufficient. Fixed Charges have become due for the Tariff Period starting 5/1/2014. Increase the Tendered Amount by TZS9,468.80.
=========================

Mimi sijawahi kutumia LUKU.. Leo nimemsaidia mtu kununua umeme... Nimerudishiwa HiyO SMS.

Naomba ufafanuzi.

Asanteni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom