Msaada Tally 9 tutorials

Msaada Tally 9 tutorials

Kauzu Kinyama

Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
41
Reaction score
5
Wana jamvi naomba msaada wa link itakayoniwezwsha kupata tutorials the tally 9, kila nikizasaka kwa net uwezo wangu unafikia ukomo ila mafanikio.
NAWASILISHA.
 
Wana jamvi naomba msaada wa link itakayoniwezwsha kupata tutorials the tally 9, kila nikizasaka kwa net uwezo wangu unafikia ukomo ila mafanikio.
NAWASILISHA.

Umejaaribu ku google ukakosa???? au unataka watu wengine wakufanyie kwa niaba yako?
 
Nashkuru kwa mlioona umuhim wa kusaidia, kwa wale mlioishia kuniponda mmeshindwa kuelewa kuwa mpaka nimeomba msaada nilishindwa kuipata hukohuko google.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom