D dada dori JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 233 Reaction score 93 Sep 7, 2015 #1 Habari! Nimeota nanunua samaki. Kwa anayejua maana yake,naomba anijuze!
SUPER PREDATOR JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 2,093 Reaction score 725 Sep 7, 2015 #2 Mimi sijui tafsiri za ndoto na wala siamini katika ndoto subiri watakuja tu wanaofahamu mambo ya ndoto
Mimi sijui tafsiri za ndoto na wala siamini katika ndoto subiri watakuja tu wanaofahamu mambo ya ndoto
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Sep 7, 2015 #3 kibua,kambale au sato?
mudy92 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 671 Reaction score 535 Sep 7, 2015 #4 Maana ya Ndoto ni kuwa "Lowassa karibuni atahamia pale Magogoni krb na Soko la Samaki Ferry"
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Sep 7, 2015 #5 tafsiri: Una hamu ya samaki
J josp Member Joined Aug 10, 2015 Posts 16 Reaction score 2 Sep 7, 2015 #6 Maana yake wewe ni mtu wa kutoa rushwa.
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,329 Reaction score 17,855 Sep 7, 2015 #7 Samaki haliwi kwa kijiko ujue, sasa hiyo ndoto yako ilipoendelea, uliota kama unampara magamba?
mercky JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 538 Reaction score 165 Sep 7, 2015 #8 mudy92 said: Maana ya Ndoto ni kuwa "Lowassa karibuni atahamia pale Magogoni krb na Soko la Samaki Ferry" Click to expand... Jamani mbavu zangu mie hahaha umenipa furahaa mkuu!
mudy92 said: Maana ya Ndoto ni kuwa "Lowassa karibuni atahamia pale Magogoni krb na Soko la Samaki Ferry" Click to expand... Jamani mbavu zangu mie hahaha umenipa furahaa mkuu!
W wa bwax Member Joined Sep 1, 2015 Posts 20 Reaction score 5 Sep 7, 2015 #9 lala tena utaota unachagua nazi mombasa ukiamka utatujuza, nn kilichoendelea....ntakutafsiria
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,383 Sep 7, 2015 #10 M PM Mshana Jr. Mzee wa mauzauza atakusaidia.
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,249 Reaction score 3,070 Sep 12, 2015 #11 Utanunuliwa kitu cha thamani hutoweza kukaa kwa sababu ya kero na maudhi yake
W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,605 Reaction score 3,968 Sep 12, 2015 #12 Pole maana yake utapoteza pesa nyingi ktk mazingira usiyoyaelewa!! Polee