Msaada tafadhari_"the windows security center can't be started!

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
266
109
Windows Security Center kwenye PC yangu (HP 620, Win 7 Ultimate, OS 32-bit), CAN'T BE STARTED.
Msaada wenu wadau.
 
Maelekezo yapi hayo, Kang???

Nilishajaribu kufuata yote hayo, lakini kilichonishinda ni kwamba, kwenye ile Program list baada ya kuselect Services, SECURITY CENTER HAIONEKANI. Kwahiyo nimeshindwa nini cha kufanya.

Msaada zaidi tafadhari.
 
Unatumia anti-virus gani? Na ipo updated? Hakikisha una Av kisha fanya full scan. Baada ya hapo run ComboFix (ComboFix: A guide and tutorial on using ComboFix), kisha rudi kama tatizo bado lipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom