Msaada tafadhari.

Msaada tafadhari.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Naombeni msaada wenu wandugu,kwenye p.c yangu files na folders zote zinafungukia kwnye program moja(microsoft)naombeni mnisaidie tafadhali.
 
Naombeni msaada wenu wandugu,kwenye p.c yangu files na folders zote zinafungukia kwnye program moja(microsoft)naombeni mnisaidie tafadhali.
Tatizo hilo husababishwa na virus ambao huchange registry settings nakufanya files pamoja na application kufunguka kwa program moja... inabidi upate setup ambazo zitarudisha origina/default settings... Je una uelewa kidogo wa computer ili nikuelekeze njia ya kufanya... kwani kama hauna uelewa kidogo na computer njia hii inaweza ikaleta madhara kwenye system yako
 
naomb unielekeze mkuu uelewa wangu ni mdgo sana kakopyta kenyewe nipewa ni ka kurith naomb msaada tafadhali.
 
naomb unielekeze mkuu uelewa wangu ni mdgo sana kakopyta kenyewe nipewa ni ka kurith naomb msaada tafadhali.
kama uelewa wako wa computer ni mdogo itakua vigumu kwa wewe kuweza kufanya iyo kitu nayotaka kukutumia, kwani ukikosea unaweza kusababisha tatizo lingine, ila kama uko tayari nikutumie maelekezo then ujaribu kuyafata hayo maelekezo
 
naomb n2mie mkuu ntaomb msaada.
 
naomb n2mie mkuu ntaomb msaada.
Fuata maelekezo haya hapa chini kwa umakini, kisha unitumie feedback:
Open the Task Manager, press CTRL + SHIFT + ESC.
Click File , press CTRL and click New Task (Run&#8230😉 at the same time. A command prompt opens.
At the command prompt, type notepad, and then press ENTER.
Paste the following text into Notepad:

Windows Registry Editor Version 5.00

[-HKEY_CURRENT_USER\Software\Microsoft\Windows\CurrentVersion\Explorer\FileExts\.exe]

[HKEY_CURRENT_USER\Software\Microsoft\Windows\CurrentVersion\Explorer\FileExts\.exe]

[HKEY_CURRENT_USER\Software\Microsoft\Windows\CurrentVersion\Explorer\FileExts\.exe\OpenWithList]

[HKEY_CURRENT_USER\Software\Microsoft\Windows\CurrentVersion\Explorer\FileExts\.exe\OpenWithProgids]
"exefile"=hex(0):

On the File menu, click Save as.
Select All Files in the Save as type list, and then type Exe.reg in the File name box.
Select Unicode in the Encoding list.
Return to the Command Prompt window, type REG IMPORT Exe.reg, and then press ENTER.
Click Yes, and then click OK in response to the registry prompts.
Log off from your account. Then, log back onto your account.
 
Back
Top Bottom