Msaada Tafadhari

Ni hivi!
Elezea vzr usaidiwe sio unaandika Unakimbia
Hii ni NGO's inapatikana Dar maeneo ya Tegeta, walitoa kazi mwaka jana mwishoni na dogo kaitwa for Interview so nisaidieni kujua Maslahi Yao, maana dogo hajui malipo yao.
Goodneighbors International Tanzania ndio wanavyoitwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom