Naombeni kuuliza ndg zangu, serikali imekua ikitangaza nafas za ajira kwa walimu wa shule za msingi na secondary karibu kila mwaka. Je fani ya ualimu ktk elimu ya awali ktk ngaz zote, (mean certificate, diploma °ree in early childhood education), wataalam wa fani hii wao huomba wapi? Msaada please maana nmemaliza coz hii Ila sielewi kinachoendelea. Kwa anaejua plea