Msaada tafadhari

Msaada tafadhari

Arly Arly

New Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Naombeni kuuliza ndg zangu, serikali imekua ikitangaza nafas za ajira kwa walimu wa shule za msingi na secondary karibu kila mwaka. Je fani ya ualimu ktk elimu ya awali ktk ngaz zote, (mean certificate, diploma &degree in early childhood education), wataalam wa fani hii wao huomba wapi? Msaada please maana nmemaliza coz hii Ila sielewi kinachoendelea. Kwa anaejua please
 
Back
Top Bottom