Habari zenu wakuu....kwa anaeweza kunisaidia ili kujua ni wapi naweza kupata waya wa material ya "zinc". Nimejaribu kuulizia kwenye maduka ya vifaa vya umeme lakini sijafanikiwa na wauzaji wengine hata hawajawahi kuusikia...kwa yeyote anaefahamu tafadhari....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.